Maonyesho ya Sanyansi, Technolojia na Ubunifu Dodoma learningmindsafrica March 16, 2019 Leo tunashiriki maonyesho ya kilele cha Sayansi, Teknolojia na Ubunifu yaliyoandaliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknoljia hapa Dodoma. Karibu katika Banda letu ujifunze ubunifu wa kijamii kupitia kituo chetu cha Social Innovation Lab.